Wamkumbuka Maneno Uvuruge?
Maneno Uvuruge akishikilia mpini wa Solo Jina la Maneno Uvuruge wengi tumelisikia siku nyingi kwenye bendi tofauti hasa enzi za Vijana Jazz ila kwa sasa Maneno Uvuruge yuko na wana Kilimanjaro...
View ArticleKilimanjaro Connection waiaga Malaysia kwa show ya kufa mtu!!
Faijala Mbutu mpiga gitaa mahiri wa The Kilimanjaro Connection Band akiwajibika jukwaani wakati wa shoo yao ya mwisho jijini Kuala Lumpur jana, huyu ni mume wa Luiza Mbutu wa Twanga Pepeta. Kundi la...
View Article
More Pages to Explore .....